MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo  ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo  kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji  ndugu wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,  Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,  Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu, Dkt. Bilal (kushoto) Said Mwema na Kamanda Mstaafu, Mahita, wakiwa katika msiba huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages