Waziri mkuu mstaafu Mh Fredrick Sumaye - RUSHWA BADO TATIZO NDANI YA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri mkuu mstaafu Mh Fredrick Sumaye - RUSHWA BADO TATIZO NDANI YA CCM

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakti wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni.
  Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni na kuambulia patupu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo. Hata hivyo Mh. Sumaye alilalamikia vitendo vya rushwa vilivyokuwa vimetawala katika uchaguzi huo.Picha Zote na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages