Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa (kulia)
akizungumza na Waziri Gregory Barker kutoka Idara ya Nishati na
Mabadiliko ya Tabia nchi ya nchini Uingereza. Dk. Huvisa na Bw. Barker
wamejadili jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na
mabadiliko ya Tabia Nchi. Mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ofisi
ya Makamu wa Rais,Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)