WAREMBO REDD'S MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA TBL ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAREMBO REDD'S MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA TBL ARUSHA

Mshiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya Timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
 Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walipotembelea kiwanda hicho jana.
 Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 wakipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakicheza mziki aina ya Kwaito mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Kiwabnda cha TBL cha mjini Arusha jana. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages