Mtoto Rashid Athumani Hamisi 12
pichani, amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoweka
nyumbani kwao Kiwalani Minazi Mirefu anakoishi na Bibi yake Bi.
Zamoyoni.
Rashidi ni mwanafunzi wa darasa la
nne katika shule ya msingi Kisutu jijini Dar es Salaam. Tunaomba msaada
wa jamii, mtu yeyote atakayemuona atoe taarifa katika kituo cha polisi
Kiwalani Minazi Mirefu au katika msikiti wa eneo hilo ama kituo chochote
cha Polisi nchini.
Pia kwa mawasiliano ya simu
0713972201, 0783165655, 0762944781 na 0784531188. Rashid ni motto wa
Mhariri wa Picha wa kampuni magazeti TSN, Athumani Hamisi, aliyepata
ajali ya gari 2008.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)