Baadhi
ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika
Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara
ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia) wakati walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika
Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo cha Habari cha Wizara
ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)