SHIRIKIANA NA LIONS CLUB KUSAIDIA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHIRIKIANA NA LIONS CLUB KUSAIDIA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO

Taasisi ya Lions Club ya jijini Dar es Salaam inaendesha zoezi la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto wasio na uwezo wenye matatizo ya moyo kupata matibabu. Unaweza kutoa mchango wako hata kwa njia ya hundi kuiongezea nguvu Lions Club. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Rais wa Lions Club Nimira Gangji kwa nambari +255715979966.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages