Rais Jakaya Kikwete aifariji familia ya aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete aifariji familia ya aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji  na kuomba dua pamoja na familia ya  aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid  amezikwa jana katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages