BONDIA THOMAS MASHALI NA MEDY SEBYALA WA UGANDA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO JUMAPILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONDIA THOMAS MASHALI NA MEDY SEBYALA WA UGANDA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO JUMAPILI

Bondia THOMAS MASHALI kushoto akitunishiana misuri na MEDY SEBYALA wa UGANDA baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa katika pambano la Ubingwa wa Africa mashariki litakalofanyi ukumbi wa Friends corner hotel siku ya jumapili 14/10/2012a katika anaeshudia katikati ni Rais wa TPBC Onesmo Ngowi ambaye ndie msimamizi mkuu wa mpambano huo 
Bondia Jonas Segu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia mpambano huo wa mabondia chipkizi umefuta isia za watu wengi kwa upande wa wapenzi wa mchezo wa masumbwi nchini
Bondia Jonas Segu kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho
Bondia MEDY SEBYALA wa UGANDA akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na THOMAS MASHALI litakalofanyika kesho katika ukumbi wa Friends corner hotel pambano la Ubingwa wa Africa masharikipicha na pambano la Ubingwa wa Africa mashariki
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na jonas Segu kulia utakaofanyika kesho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages