Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa
Idris Kikula (wa tatu kulia), kwa pamoja na Meneja wa Kanda ya Kati Bi Lilian
Mwinula wakisalimia wachezaji wa mpira wa miguu wakati wa bonanza
iliyodhaminiwa na NMB iliyofanyika kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi wa
mwaka wa kwanza.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shabaan Mlacha
akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa pete wakati wa bonanza
iliyodhaminiwa na Benki ya NMB kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi
wa mwaka wa kwanza chuoni hapo.
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu
cha Dodoma wakiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa
Idris Kikula (wa kwanza kulia) wakati wa bonanza iliyodhaminiwa na
Benki ya NMB kati ya timu ya wafanyakazi na wanafunzi wa mwaka wa
kwanza.
Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (kushoto), akiwa na
Meneja wa NMB Idara ya Wateja Binafsi Bw. Abdulmajid Nsekela, Makamu Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Idris Kikula na Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano Bw. Imani Kajula wakishuhudia michuano hiyo iliyodhaminiwa
na Benki ya NMB ikiendelea mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)