Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akifungua kikao cha
Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, wa pili
kushoto ni mwenyekiti wa Tume Jaji prof. Ibrahim Juma na kulia ni katibu
Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.
Katibu
Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Korosso
akizungumza wakati wa ufunguzi wa baraza la wafanyakazi wa Tume.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Tume Bw. Peter Kalonga.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume
Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akiwa katika picha ya
pamoja na Makamishna wa Tume wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji
Prof Ibrahim Juma na wa pili kushoto ni Katibu mtendaji wa Tume Bi.
Winfrida Korosso. wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la
wafanyakazi Bw. Fred Kandong
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)