Bwana Omary Mjenga akiagana na Mh. Balozi wa
Marekani Nchini Siera Leone baada ya kumaliza mazungumzo.
Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Nchini Sierra Leone,
Nd Omary Mjenga, akipiga picha ya kumbukumbu Pamoja na Balozi wa Marekani Nchini
Sierra Leone Bw Michael Owen, alipomtembelea leo na kufanya mazungumzo naye.
Balozi Michael Owen, aliwahi kuwa Naibu Balozi
wa Marekani Nchini Tanzania mnamo mwaka 2001 hadi 2004.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)