Mdau Matina Nkurlu akila akila pozi na wife wake Rachel Sindbar.
Bwana harusi ni Mfakazi wa vodacom na Bi Harusi ni Mhitimu wa Chuo
Kikuu UDOM na aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2010. 
Wakiwa kwa picha ya pamoja na maids wao…imetokelezea

Jamani rahaaaaa…hahahahahaha





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)