Mtoto
Shadya Kitenge aliyevaa kofia nyeupe akimkabidhi mchezaji maarufu wa
mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet
(aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo
asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku
saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na
ulemavu. Pia atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mchezo huo.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Juliana Yasoda (kushoto)
akiwa ameongozana na mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani
(tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya
orange)kutoka Ufaransa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo asubuhi jijini Dares
Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa ajili ya
kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu. Pia
atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mchezo huo.
Mchezaji
maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu ,
Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa
akizungumza na familia yake na kulia ni mkewe mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo
asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku
saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na
ulemavu.Picha na Magreth Kinabo – Maelezo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)