Hapa baadhi ya waislamu walioamua liwalo naliwe na kuamua kuwatunishia msuli polisi na kusema pigeni mpendavyo hatoki mtu.
| Vijana waliosambaa mitaani na kuamsha vurugu kubwa kwenye eneo hilo la Mbagala Kizuiani. |
| Waisilamu waliotoka msikitini kwenye swala ya Ijumaa walikumbana na kimbembe cha kamatakamata hatakama hawakuwemo kwenye sakata hilo, alama ni kanzu na sijda |
| Barabara zilikua zikiharibiwa kwa moto ulikuwa ukiwashwa na waisilamu hao wenye hasira. |
| Maji ya kuwasha yalikuwepo ingawa hayakuweza kuzuia vurugu hizo. |
| Askari na watuhumiwa wakivuka pamoja kwenye mtaro wa maji taka. |
| Watuhumiwa wavurugu hizo wakipandishwa kwenye gari la polisi. Picha na Mtaa kwa Mtaa Blog |





huyo mwenye fulana nyeupe na jinzi bluu mbona na yy ni mwendesha blog ya temekepamoja.blogspot.com kunani tena?
ReplyDelete