Gavana
wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu akisikiliza kwa makini mkutano wa IMF
pamoja na maofisa waandamizi Bw. Omary Khama na Bw. Msafiri Nampesya
Jijini Tokyo – Japan
Waziri
wa Fedha Mhe William Mgimwa akitoa maelekezo kwa Msemaji wa Wizara ya
Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Kamishina Msaidizi wa Fedha za Nje Bw. Jerome
Bureta na Afisa mwandamizi Bw. Omary Khama Jijini Tokyo-Japan
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiongoza Mkutano wa wananchama wa kundi
la kwanza la Afrika katika mkutano wa IMF Jijini Tokyo-Japan
Mhe
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na Maafisa waandamizi wa
wizara ya Fedha Bw. Omary Khama na Bw. Cyprian Kuyava Jijini Tokyo –
Japan
Mhe Mgimwa akitoka kwenye mkutano na ujumbe alioambatana naye katika Mikutano ya IMF Jijini Tokyo- Japan
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa akijadiliana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania Bw. Harry Kitilya, Mkurugenzi Utafiti Uchumi na Sera
Dk.Joseph Leina Masawe wa Benki Kuu ya Tanzania, Ofisa Mwandamizi Bw.
Omary Khama na Bw. Cyprian kuyava wa Wizara ya Fedha baada ya mikutano
hiyo ya IMF kwa siku ya leo hapa Jijini Tokyo- Japan.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)