MAKOCHA WA MCHEZO WA NGUMI WAKIBADILISHANA UZOEFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKOCHA WA MCHEZO WA NGUMI WAKIBADILISHANA UZOEFU

Kocha mkongwe katika masumbwi, Habibu Kinyogoli 'Katikati'  akibadilishana mawazo na makocha wa mchezo huo kushoto ni Kocha wa timu ya Taifa Mzonge Hassani na Kocha wa Kimataifa wa mchezo uho anaefundisha timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Kimichezi ya Ilala Rajabu Mhamila 'Super D' walipokutana katika kambi ya ngumi Ilala Dar es salaam juzi
Kocha mkongwe wa masumbwi Nchuini Habibu Kinyogoli kulia akizungumza na kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi anaefundisha Timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila 'Super D; na kocha wa timu ya Taifa Mzonge Hassani wakati walipokutana katika kambi ya ngumi ya Ilala iliyopo Amana CCM Dar es salaam juzi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages