Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa linalotarajiwa kuanza hivi karibuni Zanzibar. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa linalotarajiwa kuanza hivi karibuni Zanzibar.

   Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akifungua tawi la Chama hicho katika jimbo la Magogoni Wilaya ya Magharibi Unguja.
   Mbunge wa jimbo la Magogoni Hamadi Ali Hamadi (CUF) akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi la CUF katika jimbo hilo pamoja na utoaji wa baiskeli wa watendai wa matawi. Hafla hiyo ilihududhuriwa na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad
   Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi la Chama hicho jimbo la Magogoni Wilaya ya Magharibi Unguja
   Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi la Chama hicho jimbo la Magogoni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi baiskeli tisa kwa makatibu wa matawi ya CUF jimbo la Magogoni Wilaya ya Magharibi Unguja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages