Bw.
Albert Mwambafu na mke wake wakiweka shada la Maua kwenye kaburi na
mtoto wao mpendwa Marehemu Giveln Albert Mwambafu aliyefariki juzi baada
ya kuugua ghafla na kupoteza maisha, Marehemu Givelin amezikwa jana
kwenye makaburi ya Mbezi Tangi Bovu mara baada ya ibada ya mazishi
iliyofanyika kwenye kanisa la KKKT Usharika wa Mbezi Tangi Bovu jijini
Dar es salaam, Tunawapa pole wafiwa na mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kupotelewa na mtoto wenu mpendwa marehemu Giveln.
“MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU GIVELIN MAHALI PEMA PEPONI AMEN”
Jeneza la Marehemu Giveln likiwa tayari kwa mazishi mara baada ya kufika makabu.
Jeneza la Marehemu Giveln likiwa tayari kwa mazishi mara baada ya kufika makabu.
Mwili wa Marehemu Giveln ukiwekwa kaburini tayari kwa mazishi na kupumzishwa katika nyumba ya milele
Mwinjilisti
Jane Kamugusha aliyeendesha ibada ya mazishi akiweka mchanga kwenye
kaburi la marehemu Giveln wakati wa mazishi jana.
Bw.
Albert Mwambafu akiwa na majonzi makubwa pembeni mwa jeneza la mpendwa
mtoto wake marehemu Giveln kabla ya kuingizwa kanisani tayari kwa ibada
ya mazishi.
Mwili wa Marehemu Giveln ukiingizwa kanisani tayari kwa ibada ya mazishi.
Mwili
wa marehemu Giveln ukiwa kanisani wakati wa ibada ya mazishi
iliyofanyika jana kwenye kanisa la KKKT Usharika wa Mbezi Beach.
Bibi
wa Marehemu Mama Christina Mwambafu wa tatu kutoka kulia na
waombolezaji wengine wakiwa na majonzi makubwa kwa kupotelewa na mjukuu
wake
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)