DAR LIVE YACHANUA NA MSAKO WA THE MIC KING, TMK WANAUME NA EXTRA BONGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

DAR LIVE YACHANUA NA MSAKO WA THE MIC KING, TMK WANAUME NA EXTRA BONGO

Msanii anayesumbua na songi la Mwanayumba ndani ya gemu la Bongo Fleva, Chegge Chigunda, akimsaka ‘Mwanayumba wake’ jukwaani.
 
Memba mzee wa kundi hilo, Bibi Cheka (kushoto) akimwaga mistari jukwaani. Kulia ni Temba.
Kundi zima la TMK Wanaume likionyesha staili yao ya Mapanga Shaaa jukwaani.
Washiriki 12 waliopenya katika shindano hilo wakiwakilisha wilaya ya Ilala.
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki (kulia) akiwa na wanenguaji wake jukwaani.
Mmoja wa washiriki wa The Mic King akionyesha uwezo wake jukwaani.
...The Mic King akiendelea kusakwa.
Majaji wa The Mic King, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ (kushoto), John Dilinga ‘DJ JD’, na Sister P wakifuatilia shindano hilo.
Mmoja wa washiriki akionyesha ufundi wa kurap.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakionesha mambo jukwaani kuinogesha Dar Live.
Mkali wa kundi wa TMK Wanaume, Amani Temba, akiwaimbisha mashabiki wake kwa kutumia kipaza sauti.
Zao jipya la Kundi la TMK Wanaume, mwanamuziki Getruda, akionyesha uwezo wake jukwaani.PICHA/HABARI: ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL
--
SHINDANO la kumtafuta Mfalme wa Mic (The Mic King), jana liliendelea katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem na kuwapata wawakilishi 12 wa wilaya ya Ilala huku burudani ya kufa mtu ikiporomoshwa na kundi la Wanaume TMK na Bendi ya Extra Bongo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages