CHAMA CHA WAKUTUBI KUTOKA FINLAND(FLA) CHATOA MAFUNZO YA ICT KWA WAKUTUBI NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHAMA CHA WAKUTUBI KUTOKA FINLAND(FLA) CHATOA MAFUNZO YA ICT KWA WAKUTUBI NCHINI

Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI (aliesimama) akiwaelezea baadhi wa wakutubi wanaohudhuria mafunzo ya  matumizi ya Kompyuta jinsi mradi wake utakavyosaidia  baada yakutoa mafunzo mbalimbali ya matumizi ya Kompyuta kwa wakutubu hao kutoka maktaba mbalimbali nchini.Mafunzo hayo ya muda mfupi yameanza Oktoba 15.2012 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki  kutoka maktaba mbalimbali nchini wakifanya mazoezi ya matumizi ya Kompyuta  jijini Dar es Salaam Oktoba 15.2012.
Baadhi ya washiriki  kutoka maktaba mbalimbali nchini wakifanya mazoezi ya matumizi ya Kompyuta  jijini Dar es Salaam Oktoba 15.2012.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages