Alhaji Shaaban Mintanga akiwa chini ya ulinzi mkali wakati wa kesi yake.
Rais wa zamani wa Shirikisho la
Ngumi za Radhaa Tanzania (BFT), Alhaji Shaaban Mintanga, leo ameachiwa
huru baada ya kushinda kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya.
Mintanga ameachiwa huru baada ya kusota rumande tangu April 4 mwaka
2008.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)