Balozi wa Tanzania nchini Malawi akanusha uvumi kuwa kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Tanzania nchini Malawi akanusha uvumi kuwa kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo

Leo tarehe 12 Oktoba, 2012  wabunge wa Tanzania ambao wanashiriki mkutano wa bunge la SADC  nchini Malawi wakiongea na balozi wa Tanzania mjini Lilongwe, Malawi, katika  ofisi za ubalozi huo  jioni ya leo. Habari zilizoandikwa na mtandao wa malawivoice.com kuwa Balozi  Tsere kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo hazina ukweli wowote. Kwa mujibu wa Balozi Tsere, habari hizo zinalenga kuvuruga mahusiano  kati ya Malawi na  Tanzania.Source.Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages