Kamishna
wa Polisi Mussa Ali Mussa akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi
wa Habari akielezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa
Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo
umefanyika katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano wa Jeshi la Polisi
kuelezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini
Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika
katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)