ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA ILEMELA MKOANI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA ILEMELA MKOANI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mafundi na wahandisi  wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya  Nyaza Road  inayojenga kwa kiwango cha lami barabara  ya Pansiasi Buzuruga wakati alipoweka jiwe la misngi la ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 16, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mbunge wa zamani wa Busega,Raphael Chegeni ambaye alichangia shilingi milioni moja katika harambe ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki la Pansiasi wilayani Ilemela Septemba 16, 2012. Zaili ya Shilingi milioni 70 zilichangwa katika harambee hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mafundi na wahandisi  wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya  Nyaza Road  inayojenga kwa kiwango cha lami barabara  ya Pansiasi Buzuruga wakati alipoweka jiwe la misngi la ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 16, 2012
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Bujora wilayani Ilemela wakicheza ngoma ya Bugobogobo wakati Waziri MkuuMizengo Pinda alipohutubia kutano wa hadhara  kwenye uwanja wa Mgomeni, Kirumba, akiwa katika ziara yamkoa Mwanza , septemba 16,2012. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages