Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akikata utepe wakati wa makabidhiano ya
madawati 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa
Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa
Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel
Ole-Naiko wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 katika Shule yua
Msingi Minazi Mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akitizama wanafunzi wakiwa wamekalia madawatimuda mfupi baada ya kukabidhi 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam jana.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)