WAKAZI WA JIJI NA VICHWA VYA HABARI VYA KWENYE MAGAZETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKAZI WA JIJI NA VICHWA VYA HABARI VYA KWENYE MAGAZETI

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar Wakiwa makini katika kusoma vichwa vya habari katika magazeti ya leo eneo la Ilala boma kama walivyonaswa na kamera ya LUKAZA BLOG. Watanzania wengi wamekuwa na tabia ya kusoma vichwa vya habari vilivyotawala katika magazeti ya hapa Nchini tofauti na kipindi cha Nyuma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages