Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA
ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa
Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam leo.
Rais
wa KOTRA, Young-Ho oh (katikati) Mkurugenzi wa TIC, Raymond Mbilinyi
(kulia) wakionyesha mikataba baada ya kutiliana saini.
Hamis Omar (kushoto) na Ho-Jun Hwang, wakionyesha mikataba yao baada ya kutiliana saini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa
Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa na wa uzinduzi
wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre)
uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika meza moja na baadhi ya viongozi wa KOTRA.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)