VAN PERSIE ALIPOFUNGA MAGOLI 3 PEKE YAKE NA MAN U KUIBUKA MSHINIDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VAN PERSIE ALIPOFUNGA MAGOLI 3 PEKE YAKE NA MAN U KUIBUKA MSHINIDI

 Robin van Persie akishangilia moja ya mabao yake matatu yaliyoipa ushindi Man United wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton jana jioni.
 Van Persie piga penati iliyopanguliwa na mlinda mlango wa Southampton.
 Van Persie akishangilia bao la pili kati ya matatu aliyofunga
 Van Persie akifunga bao la tatu la Man United dhidi ya Southamton
 Robin van Persie akisikitika huku Fonte akimrukia kipa wake baada ya kupangua penati yake.
Wachezaji wa Southampton wakishangilia moja ya mabao yao mawili.Picha Kwa Msaadab wa Mtandao

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages