VALUER BRANDY KATIKA MUONEKANO MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VALUER BRANDY KATIKA MUONEKANO MPYA

 Meneja wa kinywaji cha Valeur Brandy, Martha Bangu (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho baada ya kuboreshwa na katika chupa mpya yenye muonekano wa kimataiafa. 
Meneja Masoko Kampuni ya Konyagi, Joseph Chibehe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Valuer Brandy ambayo imeboresha na kuwekwa katika chupa mpya yenye muonekano wa kimataifa.
Meneja wa kinywaji cha Valeur Brandy, Martha Bangu (kushoto) akigonganisha chupa ya Valuer Brandy na Meneja Masoko Kampuni ya Konyagi, Joseph Chibehe wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho.
Wasanii wa komedy wakigonganisha glasi wakati wa uzinduzi kwa kinywaji cha Valuer Brandy

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages