Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akifafanua jambo wakati alipoongea na
wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba walipomtembelea ofisni kwake
leo.Kulia ni Prof.Mwesiga Baregu mjumbe(mwenyekiti) na Bi Fatma Said
Mchumo (Mjumbe) na wengine kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Hassan
Bendeyeko.
Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakisikiliza mazungumzo na Mkuu wa Mkoa
wa Ruvuma. Kutoka kulia Ally Saleh,Al-Shymaar Kweigyir (Mb),Fatma Said
Mchumo na Prof Mwesiga Baregu.Tume imeanza kazi ya kukusanya maoni
katika wilaya ya Songea leo.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akifurahia jambo wakati Tume ya
Mabadiliko ya Katiba ikiongozwa na Prof.Mwesiga Baregu (kulia) na Bi
Fatma Said Mchumo walipofika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kusalimu. Picha .Na Revocatus KassimbaAfisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)