Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na
wageni wake wakielekea kwenye kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika
hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka
kushoto ni Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia, Rais Kikwete, Rais
Armando EmÃlio Guebuza wa Msumbiji na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua
kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt
Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC Rais Armando
EmÃlio Guebuza wa Msumbiji na kati ni Katibu Mtendaji wa SADC Dkt
Tomaz A. Salomao.

Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea
na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi
hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam Jana

Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA).

Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikao

Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA).

Maofisa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais
Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika
hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo
ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na
wageni wakekabla ya kikao cha siku moja cha asasi hiyo
katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka
kushoto ni Rais Armando EmÃlio Guebuza wa Msumbiji, Rais Hifikepunye
Pohamba wa Namibia, Rais Kikwete, na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana.Picha Zote na IKULU

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)