Kaka Bonda akihoji vijana juu ya Maisha Plus

Masud Kipanya akiongea na Mama Shujaa huku akionesha ushujaa wa chakula
Usaili
wa Maisha Plus 2012 waendeleaUsaili wa Maisha Plus umeendelea leo
(Septemba 4) mkoani Mwanza; baadaya hapa timu nzima itaelekea Morogoro
katika wilaya ya Mvomero na siku inayofuata itaibukia Igula, Mkoani
Iringa.
"Tukitoka Iringa tunahamia Sumbawanga huko Kantalamba then tutarudi
Mbeya, baadaye tutaelekea Kilwa kisha Masasi na Zanzibar itafuatia.
Dar es Salaam itakuwa ya mwisho ambayo usaili wake utafanyika Septemba 22 na 23," anasema Masoud Kipanya.
Fomu za kushiriki shindano hili kwa Dar es Salaam zinapatikana katika Duka la KP lililopo Millenium Towers Kijitonyama. Kama unahitaji fomu piga namba 0717104303 uelekezwe.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)