Taswira Mbalimbali Za Vurugu Baina ya Wafuasi wa Chadema na Polisi katika kijiji cha Nyololo, Mufindi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Mbalimbali Za Vurugu Baina ya Wafuasi wa Chadema na Polisi katika kijiji cha Nyololo, Mufindi

 Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi
 Mmoja wa askari wa kutuliza ghasia ffu akipita mbele ya ofisi za Chadema Nyololomuda mfupi baada ya kupiga bomu la machozi
 Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake
 Sehemu ya wafuasi wa chadema wakiwa kwenye ofisi  za Chadema Nyololo
 Mwili wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini
  Sehemu ya magari matano ya Chadema yaliyoharibiwa vibaya kwenye vurugu hizo.Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages