Jeneza la aliyekuwa Waziri mkuu wa
Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis
kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika
leo. Askari wa kike akilia kwa uchungu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi jijini Addis Ababa leo mchana.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)