Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu ncini China, Bibi Wong Young Hong,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu nchini China, Bibi Wong Young Hong, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)