Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi(Mr II) Watua Washington DC,Kuung'uruma Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi(Mr II) Watua Washington DC,Kuung'uruma Leo

  Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA) Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II(wa pili Kushoto)akiwa na Uongozi Mzima wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema DMV kwaajili ya mapokezi.
Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(kushoto)akiwa na Mwenyekiti wa Wanawake CHADEMA Maryam Khamis wapili kulia na Katibu wa wanawake Baybe Leila, wa kwanza kushoto wakiwa katika mapokezi ya kumpokea mgeni rasm wa mkutano wa Jumamosi Mh. Freeman Mbowe.
  Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(Wa nne Kulia) pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA)Mhe. Joseph Mbilinyi(wa tatu kushoto) wakiwa na wa Chadema DMV 
 Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV aliopowasili siku ya Ijumaa Aug 31, 2012, kwenye uwanja wa kimataifa  Dulles  Airport,  kwaajili ya mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Spet 1,2012.

Mkutana huo utaaza rasmi mida ya saa 4:PM (Kumi za Jioni) Wageni rasmi wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi ADDR. Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740
 Katibu wa Tawi la Chadema DMV akiwa na Mwenyekiti wake Cosmas Wambura, katika mpango mzima wa M4C.
Baada ya mapokezi Katibu wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Isdori Lyamuya akiongea mpango mzima wa mkutano utakaofanyika Jumamosi Sept 1, 2012 kwenye ukumbi wa Marriott Hotel Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740.Picha Zote na CHADEMA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages