Mkutano Wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi(Mr II) na Wanachama Wa Chadema DMV Nchini Marekani Wafana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkutano Wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi(Mr II) na Wanachama Wa Chadema DMV Nchini Marekani Wafana

Hussein Kauzera katibu Mwenenzi wa Tawi la Chadema DMV,
Mwenyekiti wa Chadema DMV Cosmas
Katibu wa Chadema DMV Ndg Isidory Lyamuya akihutubia katika Mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema DMV Ndg Cosmas Wambura akihutubia katika mkutano wa Chadema Washington DC.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema DMV Ndg Mariam Khamis akiwa katika mkutano wa Chadema DMV.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndg Freeman Mbowe akihutubia Watanzania waishio Washington DC, Marekani.
 Mbunge wa Mbeya Mjini Ndg Joseph Mbilinyi akihutubia Watanzania Waishio Washington DC, Marekani.
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Chadema DMV Ndg Kalley Pandukizi akitoa Risala ya Historia ya Tawi la Chadema DMV.
MC Sunday Shomari akiongea mawili matatu katika Mkutano wa Chadema DMV.
 Katibu wa Baraza la Wanawake Ndg Baby Mgaza akihutubia katika mkutano huo.
 Pichani Viongozi wa Chadema DMV wakiwa katika mkutano Washington DC.
Mkatibu Mwenenzi wa Tawi la CCM DMV Benjamin Mwaipaja kiwa na Kada wa chama Chadema Emmanuel Muganda akimkaribisha kwa upendo katika mkutano huo.

Namalizia kwa wana DMV kufikisha ujumbe huu  rasmi uliotolewa na Mh. Freeman Mbowe ''Rai yangu kwenu, mlio Chama cha Mapinduzi  CCM, mlio Chadema,  hivi vyama vya Siasa visitugombanishe''.
Baadhi ya Watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa Chadema DMV.Picha Zote na habari na CHADEMA-SwahiliVilla

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages