Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwafahamisha wananchi kuwa Meja Jenerali
Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima (pichani), ambaye amefariki dunia
mwanzoni mwa wiki hii, ataagwa rasmi katika Hospitali ya Lugalo tarehe
29 Septemba, 2012 saa saba mchana (7.00 mchana) Nyumbani kwa marehemu
eneo la Tegeta - Kibaoni baada ya soko la Nyuki Maruku Cottage.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764-742161
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)