Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akiinua Glasi na
Mgeni wake Makamu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu kuonyesha ishara ya
Upendo na Ushirikiano kati ya Zanzibar na China
Makamu Waziri Mkuu wa China akihudhuria katika chakula cha Usiku
kilichoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Idi huko katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rasi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi wakatikati
akipiga makofi pamoja na Mgeni wake katika Muziki uliotumbuizwa na
Kikundi cha Taarab cha Tausi katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi
kaskazini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya
Makaribisho kwa wageni wake katika Chakula cha Usiku huko Hoteli ya
Lagema ilioko Nungwi kaskazini Unguja.
Viongozi mbalimbali kati ya Zanzibar na China wakihudhuria katika
Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi huko katika Hoteli ya Lagema ilioko Nungwi kaskazini
Unguja.Picha Zote na Yussuf Simai , Maelezo-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)