Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na msaidizi Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani (mambo ya
Afrika) John Carlson mara tu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ofisi za Wizara hiyo mjini Washington.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
akizungumza na viongozi wa shirika la USAID mjini Washington. Kushoto ni
balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi MaajarPicha na, Mpiga
picha maalum USA-imeletwa hapa na Hassan Hamad kutoka Ofisi ya Makamu wa
Kwanza wa Rais Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)