Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamekaa chini wakisubiria kuhudimiwa katika kituo cha Kununua Umeme wa Luku kilichopo Eneo la Ilala Boma asubuhi ya leo huku foleni ya watu kwenda kununua umeme hapo ikiwa ni kubwa na kupelekea wakazi hawa kujikalia chini wakisubiri zamu zao ili waweze kununua umeme wa luku
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)