Mtaalam wa promoshen, Mahusiano na Udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi TIGO Bw. Edward
Shila (katika) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa
Hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam leo kuhusu kampuni hiyo
kudhamini maonyesho ya sarakasi yajulikanayo kama (Tigo mama Africa)
yatakayofanyika katika ukumbi wa Sinema wa mwenge jijini Dar es salaam
kuanzia tarehe 27 semptemba mpaka 04 Novemba mwaka huu 2012,michezo hiyo
itaambatana na sarakasi,upindaji wa viungo,michezo ya viinimacho,michezo ya angani. katika picha kulia ni Afisa uhusiano tigo
Alice Maro,wakwanza kushoto Mkurugenzi mtendaji wa Mancom Centre
Bw.Costautine Magavilla.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)