BONDIA THOMASI MASHALI ACHUKUA SEHEMU YA FEDHA YAKE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MPAMBANO WAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BONDIA THOMASI MASHALI ACHUKUA SEHEMU YA FEDHA YAKE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MPAMBANO WAKE

RAIS wa -TPBO YASSIN ABDALLAH -USTAADH 'kushoto' akimkabizi bondia Thomasi Mashali sehemu ya fedha kwa ajili ya malipo ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa Afrika Mashariki dhini ya Med Sebyala kutoka Uganda mpambano utakaofanyika October 14 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
                            

RAIS wa -TPBO YASSIN ABDALLAH -USTAADH 'kushoto' akimkabizi bondia Thomasi Mashali sehemu ya fedha kwa ajili ya malipo ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa Afrika Mashariki dhini ya Med Sebyala kutoka Uganda mpambano utakaofanyika October 14
Bondia Thomasi Mashali akitia saini ya kuchukua kiasi cha pesa kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki October 14
Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa Ubingwa wa Taifa unaotambulika na TPBO
Thomasi Mashali akiwa katika pozi. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages