Zoezi la uandikishaji Sensa ya watu na makaazi laendelea Vyema Kaskazini B Unguja - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Zoezi la uandikishaji Sensa ya watu na makaazi laendelea Vyema Kaskazini B Unguja

  Karani wa Sensa akiwa katika kazi ya kuwaandika watu katika kitongoji cha Kiongwe Mkwambani Shehia ya Mafufuni Bumbwini ambapo watu wa kijiji hicho awali waligoma kuandikisha kutokana na madai ya Elimu ya uwandikishaji kutokuwafikia vya kutosha.
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Hamis Jabir Makame akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Zoezi la Sensa linaloendelea katika Mikoa na Wilaya Nchini kote,ambapo katika Wilaya hiyo zoezi hilo linakwenda vizuriPicha na Yussuf Sima,Maelezo-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages