Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto Mheshimiwa Sophia M. Simba (Mb) akikabidhi Bibi
Genevive Mlawa Meneja Muhuguzi zawadi za mkono wa Eid kwa niaba ya
wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es salaam siku
ya Eid pili tarehe 20 Agosti, 2012.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto Mheshimiwa Sophia M. Simba (Mb) akisikiliza utenzi
kutoka kwa watoto yatima wa Kituo cha Hisani kilicho Majimatitu Mbagala,
jijini Dar es salaam siku ya Eid pili, tarehe 20/8/2012.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)