Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy akiongea katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe
30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa India uliopo jijini Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)