REDD'S MISS KANDA YA MASHARIKI YAZIDI KUPAMBA MOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

REDD'S MISS KANDA YA MASHARIKI YAZIDI KUPAMBA MOTO

Warembo wanao wania tajhi la Redds Miss Kanda ya Mashariki 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao uliyoanza jana  katika eneo la nane nane mnje kidogo ya mji wa Morogoro. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani katika Hoteli ya kisasa ya Nashera iliyopo mjini Morogoro Septemba 1, 2012 kuwania taji hilo linaloshikiliwa na Miss Sports Woman, Loveness Flavian.
Mratibu wa shindano la Redds Miss kanda ya Mashariki 2012, kutoka Kampuni ya Nepa Production & Events, Alexandra Nikitasi akizungumza na warembo ha oleo wakati wa mazoezi yao ya asubuhi.
Washiriki wa Redd’s Miss Kanda ya Mashariki wakifanya mazoezi ya kucheza show katika kambi yao iliyopo Usambara Safari Lodge nje kidogo ya mji wa Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages