Bw.
Godson Luya, mkazi wa kata ya Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara
akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba katika kata hiyo hivi karibuni.
Wakazi
wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakifuatilia mkutano wa kukusanya
maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko
ya Katiba wilayani hapo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)