Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jana Agosti 9, 2012 katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya
aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills
anayetarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa Agosti 10, 2012.
PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)